Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akipata maelezo kuhusu Maendeleo na Changamoto mbalimbali zinazoikabili Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr. Pius Kagoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza leo April 26,2021.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na kusikiliza  Changamoto mbalimbali kutoka kwa Wahudumu wa Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza katika Hospitali hiyo leo April 26,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)