Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. 

Zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. 

Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema maeneo yaliyo kwenye hatari ya janga hilo pia yanakabiliwa na mizozo ya kiusalama na kuibua wasiwasi wa kutokea mapigano wakati jamii zinapowania rasilimali finyu zilizopo.

Credit:Dw