Viwanja vinauzwa Bunju Mpakani
Viwanja viko Mingoi, Mpakani mwa Mapinga na Bunju, km 2 kutoka Main road. Hapa ni mjini, huduma zote zipo.

Vipo viwanja size zote, mfano sqm 200, 400, 600, 800, 1000, 1200, 1500, 1800 na 2000 na Bei ya sqm ni tshs 15,000
Kwa maana ya kiwanja cha 10/20 kinauzwa million 3.5 na kiwanja cha 20/20 kinauzwa million 7, etc

Kuona viwanja ni bure.
Piga 0758603077
Whatsapp 0757100236