Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan anapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania saa nne asubuhi ya leo March 19 Ikulu Dar es salaam, Mama Samia atakua Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.