Ni vipi unaweza kupata nafasi hiyo? tembelea maduka ya TECNO jipatie TECNO spark 5pro na moja kwa moja utakua umeingia katika droo, lakini vile vile kwa upande wa online unaweza kushirika kwa kupost picha ya umpendae na kuisindikiza na ujumbe unaoashiria upendo kisha weka #letlovelead.
Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo Meneja wa Mauzo Mariam Mohamed amesemea kwamba, “promosheni hii inalenga kuimarisha upendo na wateja wetu una kuwaonyesha ni kwa namna gani tunawajali na kuwathamini lakini pia kuwafanya watambue kama wao pia ni wanafamilia wa TECNO.
Tembelea ;https://www.tecno-mobile.com/tz/home/#/