Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Serikali imetangaza siku 7 za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti


Taarifa za msiba na maziko zitaendea kutolewa na serikali kwa ushikiriano karibu na familia pamoja na Chama cha ACT Wazalendo.