Taasisi ya Masoka Professionals Training Institute yenye usajili wa NACTE namba REG/BTP/103 na kumilikiwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi, Moshi mjini inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa dirisha la mwezi Machi kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) katika kozi zifuatazo:


·Uhasibu (Accountancy),

·Uhandishi wa habari (Journalism),

·Usimamizi wa Biashara (Business Administration),

·Manunuzi na Ugavi (Procurement and Supply),

·Maendeleo ya Jamii (Community Development),

·Uhifadhi na Usimamizi wa Kummbukumbu (Records and Archives Management)

Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne.

Pia, tunapenda kuwatangazia fursa ya mkopo maalum wa elimu USIO NA RIBA unaotolewa na SACCOS ya Dayosis ya Kaskazini (ELCT-ND SACCOS) kwa mzazi/mlezi anayesomesha mtoto au mwanachama anayetaka kusoma kwenye taasisi yetu. Chini ya mpango huo maalumu, wanachama wapya wanakaribishwa kujiunga na ELCT- ND SACCOS iii kunufaika na mkopo huu maalum.

ELCT-ND SACCOS italipa ada ya mwanafunzi moja kwa moja chuoni na mkopaji atarejesha bila riba kwa muda utakaokubaliwa na pande zote tatu yaani MWOMBAJI, SMMUCo na ELCT-ND SACCOS. Kwa maelezo zaidi yahusuyo mkopo unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0755319082 au ELCT-ND SACOOS kwa namba +255769598738.

Chuo kina hosteli na wanafunzi wetu wanalelewa katika maadili mema.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/2/2021

Maombi yanaweza kufanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya chuo: www.smmuco.ac.tz

FOMU ZINAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO
1. Tovuti ya Chuo: www.smmuco.ac.tz
2. Chuoni - Moshi Mjini
4. KKKT Christian Bookshop Moshi Mjini – mkabala na stendi kuu ya mabasi
5. Ofisi za Sharika zote.
 
Kwa maelezo zaidi: Piga simu namba: 0653422928, 0756512757, 0786862089, 0756029652

NYOTE MNAKARIBISHWA