Rapa Maarufu kutoka Nchini marekani Tekashi69 ameendelea kutamba na kujitofautisha na Rappers wengine kwa Upande wa mtonyo Baada ya kuonyesha Cheni yake mpya aliyoinunua hivi karibuni iliyogharimu Dolla million 1 (Takribani Bilioni 2.3 za Kitanzania)

Kupitia ukurasa wake wa Instagram 
6ix9ine amepost video clip inayomuonesha akiielezea cheni hiyo iliyogharimu mpunga mrefu na kuandika:-

"Hii ndiyo cheni bora zaidi, Cheni yenye gharama kuliko zenu zote, Mnamjua anayeongoza kwenye hili Jiji, Mfalme wa New York City 
6ix9ine."