Ofa ofa ofaaa! katika Msimu huu wa wapendanao/valentine Madson property limited inakuletea mkopo nafuu wa viwanja usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile.
Viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo;

- BUNJU A (kinondo)
   Bei 25,000 kwa Sqm

- KEREGE (Matumbi)
    Bei 16,000 kwa Sqm

- MBWENI KIHARAKA
   Bei 25,000 kwa Sqm

- MADALE (kisauke)
   Bei 35,000 kwa Sqm

- MADALE FLAMINGO
   Bei 40,000 kwa Sqm

- KIGAMBONI (Gezaulole)
 Bei 18,000 kwa Sqm ( ofa lipa laki tano tano flat rate kila mwezi mpaka utakapo kamilisha malipo yote).

NB: Viwanja vyetu vimepimwa na vina hati mteja atakabidhiwa hati miliki mara tu baada ya kukamilisha malipo yake yote husika.

Ofisi zetu zipo jengo la MWENGE TOWER FLOOR YA TANO, samu nujoma road opposite Mlimani city mall.

Tupigie: 0677307772 / 0767358229.