Rais Dkt. John Magufuli amezindua Daraja la Ubungo (Ubungo Interchange) ambalo limepewa jina la Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Hayati Balozi John Kijazi ambapo kwa sasa linajulikana kwa jina la Daraja la Juu la Kijazi.

Rais Dkt. Magufuli ameanza rasmi ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam.