Msanii maarufu wa maigizo kutoka Bongo Movie, na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu (Maadam), amekana kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanya biashara maarufu wa nguo Fred vunjabei,


Wema amekana taarifa hiyo kupitia Instagram yake, baada ya mkaka maarufu kutoka WCB juma lokole kupost taarifa hiyo kutoka gazeti 1 lililoweka habari ya mastar wa kike waliopitiwa kimapenzi na mfanya biashara huyo,


Please jamani mumpunzishe na scandal kipenzi chetu huyu, nae huwa anaumia kuona ana andamwa hivi na pengine hausiki.