Baada ya Povu zito kwa Mama Dangote kwenda kwa Mzee Abdul, mkali H. BABA ameandika ujumbe huu

👇👇👇

Kiukweli jibu la mama dangote linautata kidogo ila kikubwa ambacho anatakiwa kufahamu nikuwa baba wa mond ni mzee Abdully awe alifanyaje akufanyaje kwakuwa alihusika kwenye kukua kwako ndio baba ako.Ata mimi nilikataliwa na baba angu ila baada yakukua nikamsamehe baba nirafiki yangu mkubwa wamaisha yangu ndio sababu yakujiita H.baba kirefu cha h.baba nikwamba baba mimi mwenyewe ila nilivyojitambua nilimsamehe baba angu kiukweli nami nikati ya wahanga wahili ila tusiegemee upande mmoja kikubwa nikwamba hakunaga baba wawili baba nimmoja tuu wee diamondplatnumz usijemkataa mzee Abdully acha mama amkatae uwezi jua labda anamkomoa kwakuwa mzee kachoka ila upande wako hauna makosa hayo nimatatizo yao wee hayakuhusu nakama @ricardomomo nikakayako kweli wa baba mmoja naombeni pic yakwako na @ricardomomo mkiwa wadogo pic ulizo nazo nyingi niwewe na @romyjons ujajifunza inavyoelekea baba yake @ricardomomo ndio alikukataa angekukubali usingekosa pic za udogoni wee na Momo ila ukweli mzee Abduly ndio baba ako awe mlezi awe wakambo ndio baba ako mzazi leo hana kitu mtamkataa ila angekuwa nitajiri Mama asingetamka sio baba ako yule ndio baba ako kwanini asingekuita NASEEB NYANGE kiukweli kama mzazi inauma sana Wee msaidie baba ako mambo yao hayakuhusu huyo ndio baba ako mengine ni hasira tuu #Mtoto unamakosa ukumbuke nawewe unawatoto umesahau inshu yako na zari watoto niwa IVAN walisema ila ukweli unaujua wewe ulikausha ulijifunza jambo baadhi ya wanawake wapo hivyo nakama sio baba ako Mzee Abdully mama dangote alikubali vipi mtoto wako na @hamisamobetto aitwe Abdully sio kweli mzee Abdully ndio baba ako japo anakitu ila ndio baba ako #Kikubwa vijana tutafute pesa tofauti nahapo wake zetu watasema watoto sio wakwetu ?

1