Mabingwa wa nchi #simbasc wamepangwa kundi A katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika


Kundi A

Simba SC Tanzania

Al – Merrikh Sudan

AS Vita Club DRC

Al Ahly SC MisriYapi maoni yako baada ya kuona group hili ambalo lina wawakilishi wa Tanzania #simbasc


Kombe la Shirikisho Afrika.. Primero De Agosto (Angola) vs Namungo FC (Tanzania).  Mechi kuchezwa kati ya February 12/13.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAf)