Staa wa muziki wa Rap kutoka Nchini marekani Meek Mill ameonekana kuzima akaunti zake zote za Instagram na Twitter,

Rapa huyo ametoweka katika Mitandao hiyo kuanzia jana jumanne hali iliyoibua maswali ni kwanini kachukua uamuzi huo

Huenda yakawa ni maandalizi ya ujio wa kazi mpya kwani imekuwa kawaida kwa wasanii kuzima au kufuta post zote pale wanapokaribia kuachia kazi mpya

Meek Mill hajaachia kazi yoyote tangu mwaka 2021 Uanze, Mashabiki wategemee Chochote kutoka kwa Rapa huyo mzaliwa wa Philadelphia.