Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja. 


Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchora ya mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja. PICHA NA IKULU