Msanii Nurdin Bilal Ali anayefahamika kama Shetta, amethibitisha rasmi kuachana na mke wake “Mama Qaillah” katika interview aliyofanya na BongoFive.


Shetta ameeleza ameamua kuachana na mke wake kwa sababu zilizopo nje ya uwezo wake na kueleza kuwa amempa talaka tatu.


Comments za wadau Mitandaoni:

vicent2847Sasa itakuaj wanaume sisi unamuach mdada pisi kali kama hyu jmn


_benson_hk: Ona hata kichwa chake kilivyo kaa 👀 tulijua hawezi kudumu na yule mrembo 👀ramso_dcQmmk :hao madem wakali mnaowaacha