Kama mama kasema sio mtoto wangu basi hakuna haja ya DNA


"Anasema Mimi Ni Baba Mlezi halafu Pia Anasema Mimi Nilikataa Mimba, Nilimlea Vipi? Hebu Fikiria Hayo Maneno Yanakuja Vipi? Maneno Hayo Mawili Tofauti Yanakuingia? Itakuwaje Nikatae Mimba Af Nimlee Mtoto? Mimi Kama Mimi Nina imani Ndio Mzazi


SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA Tujuzane  HAPA


Na Kwanini Nasema Hivyo Kwasababu Anatumia Jina Langu Katika Vitambulisho Vyote, Naamini Hata Pia Katika Mikataba Yake Yote, Na Kuna Watu Wanasema Maswala Ya DNA Lakini Siwezi Nikalazimisha Kitu Wakati Mama Ndio Anayejua Na Yeye Ndio Kila Kitu Siwezi Kuforce Kupima''


''Sio Kwasababu Ya Utajiri Wake Ndio Nimgombanie Na Naamini Mtoto hagombaniwi. Na Kama Mama Kaongea Basi Hakuna Haja Yakupima DNA Mimi Nimekubali Alicho Zungumza Mama Inatosha Na Mimi Nasema Sio Mtoto Wangu Kwa Roho Moja Kabisa Kutokana Na Alichokisema Mama"