Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,


Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb


Matokeo yake ni channels nyingi sana zilianza kukua kwa kasi huku millard akitrend kwa taabu mno


Naona saizi  kaanza kumpost Diamond kwa kasi


Hongera sana millard ayo