Ama kweli Duniani wawili wawili, na ukistaajabu ya uchumi wa kati utayaona ya familia iliyojawa na uswahili

Mama dangote Anadai Mzee Abdul sio baba halisi wa diamond, alikataa mimba na kutoa malezi, lakini diamond na watoto wake wanatumia jina lake (Abdul) kila sehemu