Hello welcome back, Katika pitapita za huku na kule katika mitandao ya kijamii, kuna taarifa zinazosamba Diamond Platnumz kwamba yuko njiani kuachia wimbo mpya “STAKI” akiwa ameshirikisha mtoto wake wa kwanza Princess Tiffah.
Na habari hizi alizichapishwa Diamond Platnumz mwenyewe, kwenye ukurasa wa instagram, ikisindikizwa na video clip fupi ikimwonyesha Diamond Platnumz na Princess Tiffah wakiwa studio huku Princess Tiffah akiingiza maneno kwenye wimbo, ikiwa.
Huku ikisindizwa na hii caption “How we start ending the 2020 year!!.. #STAKI ft My Heart, Body, Blood & Veins @princess_tiffah …. ( Hivi tunaendaje TUMEWASHA TOUR Bila kuanza kufumua Mashine Mpya kwa Mfano??? #STAKI ft My Miss World @princess_tiffah )”