Jeshi la Polisi nchini limewafukuza kazi kwa  askari wake wanne kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu ,rushwa na wizi.

Akiongea na vyombo vya habari Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha ,Salumu Hamduni amesema kuwa Askari hao wamefukuzwa kazi Januari 6,2021.