Msanii wa Bongo Fleva Cpwaa amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Jijini Dar es salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na baadhi ya Watu wake wa Karibu (Marafiki), na chanzo cha kufariki kwake inaelezwa kuwa ni ugonjwa uliomsababisha kulazwa kwa takribani siku 3 kabla ya Umauti kumkuta.


Tujuzane blog  tunatoa Pole kwa Familia ya CPWAA! na Watanzania wote kwa ujumla hususani kiwanda cha muziki wa BongoFleva. Mchango wa CPWAA kwenye muziki kamwe hautasahaurika .

#RIPLEGEND
Source: Wasafi FM