Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani ya kitaifa ya upimaji wa maarifa darasa la nne na kidato cha pili na kidato cha nne kwa mwaka 2020.

 

Kutazama Matokeo  Bofya hapo chini

1. MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020

2. MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2020

3.MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020

4.MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA DARASA LA NNE (SFNA) 2020