Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee!
Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani.
Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it
Wasanii ni kioo cha jamii, hili ni sahii kabisa: kwani hii Tabia ya wanume inajulikana sana (sikiliza mziki wa Q chief unaitwa Baba)
Hili ni tatizo sugu sana kwa wanaume wa Tanzania, tunazalisha alafu tunaanza kusumbua tukuwaacha wake zetu kufanay shughuli za malezi (muangalie Diamond platnumz naye)
ukifika mda wa kuchuma ndo tunaanza kuwajifanya tuwa karibu na watoto wetu.
Hili liwe fundisho na diamond na yeye ajifunze: Ukizalisha kaa karibu na mwanao, mlee, hakikisha anakufahamu wewe kuliko mwanaume yoyote.
Ukizingua utaachwa na utakuwa replaced.
SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA TUJUZANE HAPA
na kabla mjaanza kulalamika kuhusu mchango wa baba kifedha: Malezi ya mtoto ni zaid ya pesa kwani mapenzi kutoka kwa baba ni muhimu!
Offended by my opinions? good, the world demands a mind acquainted with all forms of thoughts. . "Badala ya kunitukana, pambana ukitumia maarifa, au kaa kimya ukiwa umeshajielimisha"
By Hisha Sorel