Kupitia ujumbe uliopostiwa na ukurasa wa Instagram wa lebo ya Kings music inayomilikiwa na Alikiba umeandika ujumbe unaowaomba mashabiki kupendekeza jina la album ya Alikiba ambayo aliahidi itatoka mwaka huu yaani 2021.



Ujumbe huo unasomeka hivi ukiambatana na clip fupi ya video ikimuonyesha Alikiba akiwa studio na producer Yogothe beats:

#Jikoni for the album @officialalikiba X @yogobeats ….. pendekeza jina la album, huenda ukabahatika kuipa jina album ya 3 ya Alikiba!