RECAP: Wasanii wa Bongo Flava wa kike waliofanya vizuri mwaka 2020, rekodi za Zuchu zitakutisha!

Katika kuumalizia mwaka 2020, tunakuletea orodha ya wasanii wa Bongo Flava wa kike waliofanya vizuri zaidi. Katika kuhakikisha unapata orodha isiyokuwa na upendeleo wowote, tumeipanga kwa kuzingatia idadi ya views za YouTube walizopata kwenye video zao

VIDEO: