Klabu ya Simba SC imetangaza kumsimamisha mchezaji wake Jonas Mkude kutokana na kukabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu ili kupisha uchunguzi na kusikilizwa kwa tuhuma hizo mbele ya kamati ya nidhamu.