Baada ya Harmonize Kuweka wazi kuwa ana Mtoto wa nje, mke wake Sarah Ameandika Haya na kuweka Majibu ya DNA :

Mungu wangu watu kweli wamevurugwa, mara mbili wamepima DNA ya mtoto bado majibu ni Negative., Ila kwakua umeshindwa kupata mtoto umeamua kujipa mtoto asie wako....hongera kwa adoption, utakua na roho nzuri 🤣🤣hukujua jinsi ya kutunza mke sababu ya maovu yako natumai utajua kutunza mtoto 🤣🤣🤣 UKOME KUONGOPEA MASHABIKI ZAKO. Dah 🙏 I post it in swaili language, so everybody will understand 👌


Haya hapa Majibu ya DNA Yanayoonsha kuwa mtoto sio wa Harmonize:




VIDEO;