Baada ya kukiwasha kimataifa wanarudi katika VPL, ni Namungo FC na Simba SC.

Namungo FC watakuwa dimba la Majaliwa kupepetana na Biashara United.

Mabingwa watetezi Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamini Mkapa kuumana na maafande wa Polisi Tanzania.