Ujumbe wa mtangazaji na pia ni mshauri wa masuala ya mahusiano na ndoa @mwijaku kwenda kwa msanii @harmonize_tz

"#Fact-This for you ..! @harmonize_tz kwa upande wangu nimefurahi kwa wewe kua proud na mtoto wako saafi ..!

Ombi langu kwako tafadhali kua pia proud kwa mama mtoto alie kupa huyo mtoto haijalishi yeye ni video vixin au ni dancer make sure unakua proud nae yeye pia hiii italeta good chemistry katika makuzi ya mtoto wenu .

Numejaribu kufatilia katika maandiko yako sijapna sehemu umemshukuru au ukamthamini mwanamke wa #nguvu au #shoka alie kubali kukubebea ujauzito wako na kukufanya ukawa baba leo .

Siku zote hua tunawasahau wanawake ambao wametufanya sisi kua marijaku na hua tunasahau kua Mkojo wako angeweza kuufinyia kwa nnje na usinge mfanya chochote .

Kitendo cha kukuruhusu usitumie condom kwake na kitendo cha kijasiri sana na kukuruhusu upizzz ndani ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juuu saana hivo mpe shukrani zake na kua proud nae .

Natumaini ushauri huu utauzingatia na kuwafanya wanawake watamani kuzaaa kwa kuona mwanamke mwenzao amerhaminiwa na msanii mkubwa ambaye amethubutu kutotumia condom zingatia huo ni ujasiri mkubwa sana katika zama hizi za maradhi ya kingono #STD ..! ZUU NA MAMA YAKE WELL-COME PARTY ZANZIBAR 🙏🏾 "