1. Wizara ya Maji -Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu- Jenister Mhagama
4. Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto - Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)
5. Waziri wa nchi ofisi ya Rais Uwekezaji - Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria- Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia- Prof Joyce Ndalichako
8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Ofisi ya Rais TAMISEMI- Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini- Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati- Dkt Medard Kalemani
13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya- Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14. Wizara ya Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15. Wizara ya Viwanda na Biashara- Mwambie Geofrey Idelphonce
16. Wizara ya Mambo ya ndani- George Simbachawene
17.Muungano na MAZINGIRA- Ummy Mwalimu
18. Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari- Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha- Dkt Philip Mpango
20. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki- Prof Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi- William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na JKT - Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora- Capt Mstaafu George Mkuchika