Huyu ni Msanii aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye Sanaa na Muziki Tanzania na Afrika Mashariki, Heshima aliyonayo nje ya Nchi ni kubwa sana na ameweza kuitangaza Nchi yake kupitia Bongo Fleva, ameshafanya matamasha mengi sana lakini kwa alichokifanya juzi South Sudan, Juba 🇸🇸 kujaza eneo la wazi la Dr John Garang Mausoleum ambalo ni kubwa zaidi ya kiwanja cha mpira 🏟


Diamond alijaza zaidi ya watu lakini moja hadi sehemu ya kukanyaga kukosekana na watu wengine kupanda juu ili kuona show, hadi Mh Rais wao Salva Kiir Mayardit (SKM) alihudhuria Tamasha hilo! Energy aliyokua nayo Simba haijawahi kushuka na kawakilisha vizuri kama kawaida,


Show kama hizi tuliona kwa Wasanii kama P Square, D Banj na wa Marekani lakini hii kaifanya kijana Mtanzania akiwa peke yake kwenye jukwaa na ku pull over 100K people 🙌🙌🙌


Diamond 🦁 kafanya mengi makubwa katika kizazi hiki na Sanaa na kupeperusha Bendera ya 🇹🇿 kwa muda mrefu sana, Nadhani juhudi zake za kutangaza Utalii, Lugha ya Kiswahili na Utamaduni kupitia Sanaa zimpatie HESHIMA KUBWA NCHINI kama alama ya Mafanikio ya SANAA Tanzania na alama ya kukumbukwa, tusisite kumpa heshima yake kwa alichokifanya na anachokifanya kwa Taifa lake, Michael Jackson aliwahi kusema:-


‘Sometimes when you’re treated unfairly it makes you stronger and more determined. Slavery was a terrible thing, but when black people in America finally got out from under that crushing system, they were stronger. They knew what it was to have your spirit crippled by people who are controlling your life. They were never going to let that happen again. I admire that kind of strength. People who have it take a stand and put their blood and soul into what they believe’ – Michael Jackson


Kuna aina nyingi za Wasanii, Watu Maarufu kupewa heshima bila kuzipangia mamlaka nini cha kufanya ziangalie HESHIMA ya Kumpa @diamondplatnumz kama alama ya Taifa Kimataifa, kama unaunga mkono hoja hii