Kutoka Kwenye Instagram Ya @harmonize_tz Ameandika''Ukweli Humuweke Yeyote Huru....!!!! Haijalishi Ni Kiasi Gani ..!!! Au Muda Gani.

Ila Naamini Kusema Hili litafanya Moyo wangu Uwe Huru Na Nijione MUUNGWANA Mbele Ya Mungu Pamoja Na Wewe Unaesoma ..!! Pia MUUNGWANA Zaidi Mbele Ya Mtoto wangu Kipenzi My First Love (ZUU) 😭😭😭😭 Nianze Kwa Kusema I'M SO SORRY MY PRINCES🙏🙏 for NOT ever Been PROUD of You 4 ONE YEAR AND 7 MONTHS 😭 Nisamehe Pia kwa kuto kuwa Na Time Hata Ya Kuja Kukuangalia Pale Ulipo Kuwa Unaumwa, kwa Kuhofia Kuvunja Mahusiano Ambayo Nayaheshimu Sana..!! Tumepitia Mengi na Naamini Kuchezea Wanawake Au Kubadili sio Sifa. Hili Swala Limenitesa Kwa Muda Mrefu, Hadi ikafika Pahala Nikasema Namuachia Mungu. Maana Wakati wake Sahihi Zaidi Hatimae Umewadia 🙏 NISAMEHE Mwanangu,kwa Kuto Pata Hata Usiku 1 wa Kulala Kifuani Kwangu Ukapata Hata Joto La Baba Yako 😭 NISAMEHE kwa Kukufanya Ujisikie Mpweke Au kana kwamba Umekuja Kwenye Hii Dunia Kwa Bahati Mbaya na Kukufanya Usijione Special 😭
Nisamehe Kwa Kuto Kukupa Huu umaarufu Ambao Nimeupata kwa Barakha Za Mungu tu na Sio Kwa Ujanja Wangu, Kukufanya Uishi kwa Siri Na Kuto furahia Neema Zangu. Huduma Pekee Nilizo kuwa Nazitoa na kila kitu Tangu upo Tumboni Mwa Mama Yako Mpaka Unazaliwa Hazitoshi Na wala Haziwezi Jenga Furaha Pasi na Uwepo Wangu Nitaiweka Wapi Sura Yangu Ukiaanza Kujitambua Na Ukagundua Kuwa Baba Yako Hayupo PROUD na Wewe Kwasababu Hayupo Katika Mahusiano Na Mama Yako Mzazi Yupo na Mahusiano Na Mwanamke Mwingine Na Anakuficha Kwa Kuhofia Kuyavunja Mahusiano Hayo Ya Muda Mwingi ...??? (1)Hakuna Mwanadamu Alie Kamilika (2) kitanda Hakizai Haramu (3) Anaenipenda Kwa Dhati Ninaimani Atakubaliana na hali Harisi sitoweza Kukubali au Kushuhudia Damu yangu Inateseka You are my WORLD. Nakuomba Msamaha Hadharini Na Nakuahidi Kukupa MOYO wangu wote,Kwani Hukuja Kwenye Hii Dunia Kwa Bahati Mbaya Ni Mpango Wa Mungu I LOVE YOU MY FIRST LOVE PRINCESS Umenifanya Nijione Mtu Mzima. Nimejifunza na Natarajia Kujifunza Meng! Kupitia Wewe @official__zulekha_kondegirl NILIISHA SEMA PRIVATELY NA NASEMA TENA HADHARANI I'M SORRY TO YOU, MY WIFE (SARAAH) ninaimani Utalipoke Kibinadaam 🙏 AMEEN 🙏''