ampuni ya Toyota inatarajia kuingiza sokoni gari linalotumia betri ya kuchaji kwa umeme badala ya mafuta. Imeelezwa kuwa betri hiyo ikijaa gari linaweza kwenda umbali kwa kilomita 500. Betri itachukua dakika 10 kujaa toka asilimia 0 hadi 100.