@kondegang Msanii kutoka label ya konde music worldwide @ibraah_tz ametajwa na @Billboard kama msanii namba 10 kwenye orodha ya wasanii 10 bora Wanaofanya vizuri kwenye mtandano wa Youtube kutoka nchini Tanzania.

Pongezi nyingi ziende kwa mashabiki wote mnaoendelea kumsapoti kijana mwenzenu @ibraah_tz kwani bila mashabiki hakuna #Chinga na pia Shukrani nyingi ziwaendee @billboard kwa kuutambua na kuuthamini mziki wa tanzania na Africa pamoja na wasanii wake kiujumla.
#kondegang4everybody