Jarida la Forbes, linamtaja kijana #RyanKaji, mwenye umri wa miaka 9, kuwa ndiye Youtuber (mpandisha maudhui kwenye mtandao wa YouTube) aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao huo kwa mwaka huu 2020.


#Kaji ambaye anaishi Texas, Marekani ameingiza $29.5 Milioni, ambazo ni zaidi ya Bilioni 66 za Kitanzania kwa mwaka huu 2020 kutokana na video mbalimbali anazozipandisha kwenye Chaneli yake inayoitwa "Ryan World" yenye jumla ya Subscribers Milioni 27.6 hadi sasa.


Swipe kuiona Top 10 ya watu walioingiza Pesa nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwaka 2020.