Msanii wa Bongoflava Amber Lulu amejitokeza na Kumchana ukweli Uchebe aache kutafuta Kiki baada ya kupost picha akiwa na Amber lulu na kuandika mama Kijacho ,  Amber lulu amemwambia aache kutafuta kiki , "Mama Kijacho hiyo mimba umenipa wewe"