Watu wapo honeymoon..MANARA na Mkewe..Mahaba Yamepamba Motoo, Haji Manara na Binti huyo wamefunga ndoa week end hii iliyopita Kwa Harusi iliyofana na kuhudhuriwa na Mastaa kibao wa Tanzania