MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo Desemba 13, 2020 amefanya shoo ya aina yake katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, kwenye Tamasha la ‘TUMEWASHA’.