Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akufuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu. 

Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika.