Breaking News : Wasanii wawili wakali toka Nigeria #burnaboy na #davido wamepigana huko Ghana kwenye Night Club usiku wa Kuamkia Leo.
wasanii hawa wamekuwa na beef ya kurushiana maneno kwa muda mrefu kupitia mitandao Ya Kijamii.
follow @divamediaafrica kwa habari za kiburudani na kimichezo