Regina Daniel (24), mkazi wa Louxmanda Manyara anatuhumiwa kuwauwa Watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodhaniwa kuwa ya Panya

-

Kamanda wa Polisi Mkoani humo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema chanzo cha Mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia kati ya Regina na mume wake

-

Watoto waliopoteza maisha ni Emmauel Agustino (7), Emiliana Agustino (4) na Elisha Agustino ambaye umri wake ni mwaka mmoja (1)