Mbunge CCM ambae pia ni meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale, amedai kuwa mke wake ambae kwa sasa ni marehemu alikuwa akimdekeza sana kiasi hajui kufua under wear wala kupika chai, amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear lakini huwa akishavaa anazificha , Msikilize Hapa chini: