Baada ya Sekeseke la Mastaa wa muziki kutoka nchi Nigeria @davido na @burnaboygram kuzichapa Usiku wa kuamkia leo wakiwa Twist club nchini Ghana


Kwa mara ya kwanza baada ya Tukio hilo #Davido ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa ataacha Muziki "I go leave this music for Una"


Bado Chanzo cha ugomvi huo hakijajulikana licha wawili hao kuwa katika bifu la muda mrefu


Kwa upande wa Burna Boy bado hajazungumza chochote kuhusu tukio hilo


Je, Unadhani Davido atayatimiza Maneno haya!?