Wakili Albert Msando @albertomsando ametoa ufafanuzi juu ya taarifa zilitoka leo kwenye gazeti la MWANANCHI kwamba Mahakama Kuu Dar Es Salaam imetengua hukumu iliyoamuru kampuni ya Tigo kuwalipa wanamuziki A.Y na Mwana FA.


Msando ameacha comment kupitia ukurasa wa Mwananchi hapa instagram. Rudi stori iliyopita kuelewa zaidi.