Kocha wa klabu ya Cedric Kaze amezungumzia Derby yao ya kesho dhidi ya Mnyama Simba huku akitaja majeruhi yaliopo kikosini kwake.

”Wachezaji wengi hawajazoea derby na hata waliyozoea kesho hawatakuwepo kama Haruna Niyonzima anaumwa malaria, Carlinhos ameanza mazoezi juzi alikuwa kama wiki tatu hakufanya tunasikilizia kama hatakuwa fiti,  Mapinduzi Balama ana majeruhi ya muda mrefu na Adam Kiondo,”- Kaze

The post Watakosekana mbele ya Mnyama Simba (+Video) appeared first on Bongo5.com.