Wala Rais haitaji kusafishwa, Rais wetu ni msafi na alishasafishwa na Watanzania, wenzetu waliokuwa wanagombea walikuwa wanakosea, unakuja kuwaambia watu kwamba kule nje wataamua, kule nje wanaangalia, sisi ndio wenye Nchi, Watu walikuwa wanabishana hata ruzuku namna ya kutumia mwanzo wa mwaka mpaka miaka mitano inaisha, sasa hawa ambao walikuwa wana ruzuku milioni mia tatu wameshindwa kukameneji, ivi ukiwapa Nchi itakuwaje? Mwita Waitara
The post Waitara: Rais haitaji kusafishwa, ni msafi alishasafishwa na Watanzania, ambao walikuwa na ruzuku mil 300 wameshindwa kuzimeneji, ukiwapa Nchi itakuwaje? (+ Video) appeared first on Bongo5.com.