Kiapo cha uaminifu kinaendelea kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo ni la 12. Leo ni siku ya pili kwa wabunge kula kiapo cha uaminifu ambapo miongoni mwao akiwemo Januari Makamba na Nape Moses Nnauye.

The post Video: Nape, Makamba na wabunge wengine wala kiapo cha uaminifu appeared first on Bongo5.com.