Chama tawala nchini Ivory Coast kimewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya jaribio lolote la kusababisha vurugu nchini humo baada ya kukataa matokeo ya uchaguzi wa Jumamosi ambapo Rais aliye madarakani Alassane Ouattara aliwania kuchaguliwa tena kwa muhula wa tatu.

IvoryIvoryIvory

Upinzani ambao ulisusia uchaguzi huo umeitisha maandamano kuzuia kile wanachokielezea kama uchaguzi wa kulazimisha madaraka.

Ivory Coast opposition demands 'transition' after election - RFI

Bwana Ouattara ameanza kuchukua uongozi wa mapema kwa kupata asilimia 99 ya kura katika baadhi ya maeneo ambayo ni ngome ya chama tawala.

Ivory Coast election violence leaves a ′dozen dead′ | News | DW | 01.11.2020

Zaidi ya watu 30 wameuawa katika ghasia za Bwana Ouattara alitangaza kwamba anagombea tena baada ya aliyekuwa amechaguliwa na chama chake kumrithi kufariki dunia ghafla mwezi Julai.

The post Upinzani Ivory Coast waonywa dhidi ya vurugu baada ya matokeo ya uchaguzi  appeared first on Bongo5.com.