* Kama unapenda kucheza Deuces Wild, utaupenda mchezo huu wa video kutoka Expanse Studios ambapo wild deuces zinaweza kukuongezea ushindi wako mara mbili.

Michezo ya video poker ni miongoni mwa michezo maarufu kwenye ulimwengu wa michezo ya kubashiri mitandaoni, michezo ya video poker inapatika bure au kwa kulipia pesa halisi. Kwa msingi huo, ni chaguo sahihi kwa wachezaji wa kawaida na wataalamu wa kucheza poker.


Umewahi kuisikia Deuces Wild? Mchezo wa wild poker umeboreshwa zaidi na Expanse Studios kwa kuongeza kipengele cha Wild Double Up video poker. Unapatikana bure au kwa pesa halisi kupitia Kasino ya Meridianbet, mchezo huu unakupatia burudani halisi na malipo ya kiwango cha juu.


Kwa wachezai wa kawaida na Wataalamu wa kucheza Poker

Unachezwa na kadi 52 za kawaida, Deuces Wild Double Up video poker kutoka Expanse Studios unawalenga wachezaji wapya na wazoefu wa poker. Kama hujawahi kujaribu Deuces Wild, hutopata shida na mchezo huu. Utofauti pekee upo kwenye deuces, zinatumika kama mbadala wa kushinda kadi au kitu kingine.


Kwa sifa hii, Expanse Studio imefanikiwa kuanzisha sloti maarufu kwenye mchezo wa video poker. Wilds kwenye sloti zinatumika kukamilisha mchanganyiko wa ushindi, kama zilivyo deuces kwenye mchezo huu. Pia unaruhusu burudani ya kipekee kitu ambacho ndio uhalisia wa michezo ya kubashiri. 


Unaweza kucheza mikono 1, 5, 10 au 25 kwenye Deuces Wild Doubel Up kwa hatua tano tofauti za kubashiri. Kumbuka, thamani ya pesa inatofautiana. Unaweza kuongeza hatua ya kubashiri na thamani ya pesa upendavyo kwa kubofya namba chini ya jedwali.


Mchezo huu unamuonekano uliorahisi kuelewa. Hii inarahisha uchezaji hasa kwa wachezaji wapya. Wachezaji wa muda mrefu watakuwa wanazijua nafasi zao, lakini kwa wachezaji wapya watahitaji msaada kidogo.


Ukishakuwa tayari kucheza, bonyeza kitufe cha deal na ufurahie mchezo huu.


Ongeza Ushindi wako Mara Mbili na Wild Deuces

Urahisi wa muonekano unaifanya Deuces Wild Double Up kutoka Expanse Studios iwe rahisi kucheza. Bofya kitufe cha deal na uanze kucheza.Utapata kadi 5 na unaweza kubakinazo zote au chache. Bofya kitufe cha deal unapokuwa tayari kuendelea na mchezo utakutaarifu kuhusu mikono uliyonayo kwa kutumia sauti.


Pia itakuonesha mikono uliyonayo kwenye jedwali kwa juu upande wa kushoto. Baada ya kubofya mkono, utalipwa papo hapo. Unaweza kuona malipo kwa kila mkono kwenye jedwali upande wa kulia. Sio jambo la kushangaza, Royal Flush inalipa zaidi.


Unapobofya deuce, mchezo utailebo kama wild ili kurahisisha mrejeo wa nafasi zako za ushindi. Hakikisha unaiangalia kwani inaweza kukupa ushindi mkubwa. Malipo upande wa kulia yanaashiria mikono ya ushindi na kadi zikiwemo.


Kitu cha kipekee kwenye Deuces Wild Double Up ni unaweza kubashiri ushindi wako. Unakadi 5 zenye nafasi ya kuongeza zawadi yako kwa kila kadi. Una machaguo mawili pekee ya ubashiri – nyekundu au nyeusi. Baada ya kutabiri kadi sahihi, ushindi wako utaongezwa mara mbili. Itumie fursa hii kwa usahihi, unaweza kupata jackpot lakini pia unaweza kuikosa.


Jaribu kucheza Deuces Wild Double Up video poker kwenye Kasino ya Meridianbet na uzijaribu stadi zako. Unakila sababu ya kupata ushindi mkubwa?